“Nachukua fursa hii kwa Niaba yangu Binafsi pamoja na Uongozi na Wafanyakazi wote wa Afisi ya Rais - Kazi, Uchumi na Uwekezaji kuwashukuru kwa dhati Wadau wote na Wananchi wa Zanzibar kwa Mashirikiano Makubwa mnayotupa katika Utekelezaji wa Majukumu yetu. ARKUU itaendelea Kufanya Kazi kwa Bidii na Uweledi katika Kuimarisha, Kusimamia na Kukuza Uweke.“ Soma Zaidi ...